Ephesians 5:8-9

8 aKwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru 9 b(kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),
Copyright information for SwhKC